Susunod

MITIMINGI # 187 SIFA 10 ZA KUZIVUTA FURSA NA MAFANIKIO YA UONGOZI WAKO

2 Mga view· 10 Agosto 2023
proshabo
proshabo
5 Mga subscriber
5

Ushawahi kujiuliza kwa nini Viongozi wengi hawafanikiwi? Makanisa Mengi hayakuwi? Biashara nyingi hazikuwi? Wanatimiza miaka 10 ya biashara, miaka 10 ya uongozi wao lkn ukiangalia maendeleo katika organization yapo pale pale.

KATIKA KITABU CHA "JINSI YA KUZIVUTA FURSA NA MAFANIKIO YA UONGOZI WAKO" Nimechambua kwa undani sana kwa nini watu hawafanikiwi katika uongozi wao. Fursa zipo lkn haziwavuti.

Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. +255 713 18 39 39

Magpakita ng higit pa

 0 Mga komento sort   Pagbukud-bukurin Ayon


Susunod