Inayofuata

#BREAKINGNEWS MCHUNGAJI DKT. PETER MITIMINGI AFARIKI DUNIA USIKU HUU

10 Kutazamwa· 10 Agosti 2023
proshabo
proshabo
5 Wanafuatilia
5
katika Watu na Blogu

#BreakingNews#WHC#MchingajiMitimingi

Mchungaji wa kanisa la Warehouse Christian Centre (WHC) , Peter Mitimingi Amefariki dunia usiku huu.

Mchungaji Mitimingi amejizolea umaarufu katika mafundisho yaliyojikita katika mahusiano ya na Ndoa.

Onyesha zaidi

 0 Maoni sort   Pangilia kwa


Inayofuata