#BREAKINGNEWS MCHUNGAJI DKT. PETER MITIMINGI AFARIKI DUNIA USIKU HUU
0
0
10 ビュー·
10 8月 2023
の
人とブログ
#BreakingNews#WHC#MchingajiMitimingi
Mchungaji wa kanisa la Warehouse Christian Centre (WHC) , Peter Mitimingi Amefariki dunia usiku huu.
Mchungaji Mitimingi amejizolea umaarufu katika mafundisho yaliyojikita katika mahusiano ya na Ndoa.
もっと見せる
0 コメント
sort 並び替え