Top videos

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

kiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao. #1Nyakati 7:14

Furahia ndugu maombi haya ya kinabii kumaliza mwaka 2018.
Karibu funga pamoja nasi kwa kadri utakavyoweza.

Mwongo wa maombi nitautoa kila siku hapa saa kumi na moja na nusu majira ya Afrika Mashariki na Kati
Kama hujawahi ku-subscribe basi nakuomba ufanye hivyo leo.
Ubarikiwe.

Pastor Shagihilu
+255758443873 (Calls, Whatsapp, Imo)

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

Ibada Iliyoongozwa na Mch. Mbarikiwa Mwakipesile.
0655436603 au 0769015164

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

Ibada Iliyoongozwa na Mch. Mbarikiwa Mwakipesile.
0655436603 au 0769015164

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

Filamu za Kikristo | Watu Wanaweza kuingia Katika Ufalme wa Mungu Bila Kukubali Hukumu na Utakaso Wake wa Siku za Mwisho? (Dondoo Teule)

Tafadhali kumbuka: Video zote kwenye idhaa hii zipo ili zitatazamwe bila malipo. Kupakia, kubadilisha, kupotosha, au kudondoa video zozote kutoka katika mtandao wa YouTube wa Kanisa la Mwenyezi Mungu hakukubaliki kwa mtu yeyote au kikundi chochote bila kupata idhini kwanza. Kanisa la Mwenyezi Mungu lina haki ya kufuatilia njia yoyote na njia zote za kisheria inapotukia kwamba kuna ukiukaji wowote wa sheria hizi. Tafadhali wasiliana nasi kabla ili ufanye maombi ya usambazaji kwa umma.

Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/
Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw
App Store: https://itunes.apple.com/ke/ap....p/the-church-of-almi
CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme App
Google play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.GodFootSteps.NewSongsOfTheKingdom&hl=sw&pli=1
App store: https://apps.apple.com/ke/app/id1447653528
Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

Nipo hapa kwa ajili ya Kumshuhidia BWANA YESU na KUTAHADHARISHA Watu wa Mungu kuhusu WOKOVU, KUTUNZA UTAKATIFU na Jinsi ya KUTENGENEZA na BWANA YESU. Mara nyingi mimi hushuhudia maeneo ya Dodoma Stand ya Mabasi.

Kwa MAOMBI na Kutuma Sadaka kwa Ajili ya Kazi ya Mungu, tafhadhali tumia: Tigo +255 716 778 693 au Voda +255 768 906 552

Tafadhali SHARE na WENGINE ili Watu wa Mungu WAPONE.

Bwana Yesu Akubariki sana kwa Kusimama nami kuifanya KAZI ya MUNGU. Amina.

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

Ibada iliyofanyika Katika kanisa La Vuka Yordan Ngaramtoni Arusha Tanzania,Na kuongozwa na Mtumishi wa Mungu Bishop Elibariki Sumbe.

Follow kurasa za Bishop Sumbe,Bofya Link Hapa Chini.

https://facebook.com/BishopElibarikiSumbe

https://instagram.com/BishopElibarikSumbe

Website
https://Vukayordani.Org

LIKE | COMMENT | SHARE.

UBARIKIWE.

#VukaYordaniChurch #NgaramtoniArusha

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

APOSTLE CASTORY MASOLO

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

Neno la Mwenyezi Mungu | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV Utakatifu wa Mungu I (Sehemu ya Tatu)

Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/
Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw
App Store: https://itunes.apple.com/ke/ap....p/the-church-of-almi
CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme App
Google play: http://bit.ly/2WHrvj2
App store: https://apple.co/2ZEE29d

Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org
Wasiliana Nasi: +254-700-427-192

#NenolaMungu#kumjuMungu #nenolaMungu #swahiligospel #Injili #gospel #kenyangospel #tanzaniagospel #ugandagospel #CongoGospel #ZambianGospel #MwenyeziMungu #KanisalaMwenyeziMungu

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

HAKIKA MUNGU NI WA AJABU AMETUTOA KATIKA KIFO NA KUTULETA SALAMA ..
#PRISCAPETRO
#achadhambi

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

#peterjoshua #achadhambi #gospermusic

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

Acha dhambi ni wimbo ambao unaelezea watu wanavyo tenda dhambi na kuchukulia kila dhambi ni sawa

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

BACHU SDA CHOIR TABORA TZ

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

Niko tayar kwa miariko ya ndan na nyje number +255787173340

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

#LucyCheza #AchaDhambi #Gospel music
SUBSCRIBE, LIKE ,COMMENT & SHARE
the song dhambi warn us to stay away from sin so that our prayer will be answered whenever we pray.get the song
youtube
mdundo
boomplay
to call Lucy cheza
0748874900

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

Official video 4k GLCmedia

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

Director @Godwin six Producers @Robert Daniel Robby @Tella @salubeats8160 I have been sent to preach the gospel,in the city and villages,so that people may receive the Saviour,before I start preaching,let me pray first,and read the word so that the spirit may service us. Firstly,his word says confess your sins,his kingdom is near(confess your sins) you should stop sin,stop sin! Stop sin stop sin.....some say wait until tomorrow,when we preach the gospel to them,their saying not yet! some say wait a bit,their saying we are still enjoying our youth...to be born again;Not yet...Not yet Not Yet!!
People say I don't have a job to do when I say we should make an arc,some people snob.when I preach people to say stop being evil,they do evil,when I preach about people to stop being alcoholics,they still drink,some say beer is sweet,when they sing they praise ladies,God says he is a God of Jealous,he doesn't want any other god to be worshipped,firstly his word says you should confess your sins,his kingdom is near....you should stop sin,stop sin stop sin!!

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

OFFICIAL HD VIDEO - ALBUM 2

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

#KINYAMBE #ACHA#DHAMBI #Mr.MichaelTz

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

#gospelsongs #achadhambi

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

Catch up with Grant Charles on:
Instagram: https://www.instagram.com/grantcharles_tz
Audiomack: https://audiomack.com/grant-mw....aisanila/song/acha-d
Contacts: +255 (0) 756012723.
SON OF GOD FROM EAST AFRICA IN TZ

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

Subscribe katika channel yetu ya kanisa la AREMA - Hema la Uponyaji na Ukombozi ili uendelee kupata mafundisho ya Neno la MUNGU

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

Dhambi si kile tutendacho tu, bali ni vile hasa tulivyo. Nini nini kinapswa kuondolewa katika miili yetu ili asili ya kupenda dhambi iondolewe.

Wakati fulani tunapanga, tunanuia, tunashauku, na tunaamua kutotenda dhambi tena lakini katika utekelezaji miili yetu hufanya tofauti na tulivyopanga, kuna jambo zaidi la kujua katika asili ya mwanadamu ili tujijue ni kipi cha kushughulikia katika hatua za kuishinda dhambi.

Somo hili hutelezea shida iko wapi na nini kifanyike katika asili ya mwanadamu ili aweze kuishinda dhambi.

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

#InawezekanaKushindaDhambi #ABCGLOBAL

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

Leo Mwalimu anatufundisha KUJAA ROHO MTAKATIFU ni siri ya Yesu kushinda dhambi alivyokuwa hapa duniani.

Ungependa kuungana na Mwalimu Huruma Gadi katika kuhakikisha Injili hii inafikia watu wengi:
CHANGIA GHARAMA ZA INJILI KATIKA RADIO HABARI MAALUM (97.7)
CRDB BANK
ACCOUNT NUMBER:0112020439000
JINA LA ACCOUNT: HURUMA MATHEW GADI
AU
MPESA 0764500242
TIGOPESA 0673500242
AIRTEL MONEY 0789500242
JINA: HURUMA GADI


Mfuatilie Mwalimu Huruma Gadi:
Instagram: http://instagram.com/mwalimuhurumagadi
Facebook: http://facebook.com/mwalimuhurumagadi
Twitter: http://twitter.com/mwalimuhurumagadi
Podcast: http://ow.ly/mwalimuhurumagadi

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

MAWASILIANO 0655863562

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

Tuwe makini dhambi ya Usagaji na Ushoga inaangamiza vijana Wetu... Tena wengine wapo kanisani majumbani kwetu wazazi hatuna habari.

Yesu awe msaada wetu.

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

JIFUNZE NAMNA NZURI YA KUSHINDA UDHAIFU ULIONAO KATIKA MAMBO YAKO YA KIROHO HWENDA KUNA DHAMBI FULANI AMBAYO INAKUTESA JE, UNATAKA KUWA HURU USIKOSE VIDEO HII MPKA MWISHO

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

Leo Mwalimu anatufundisha USHIRIKA NA BABA (MUNGU) ni siri ya Yesu kushinda dhambi alivyokuwa hapa duniani.

Ungependa kuungana na Mwalimu Huruma Gadi katika kuhakikisha Injili hii inafikia watu wengi:
CHANGIA GHARAMA ZA INJILI KATIKA RADIO HABARI MAALUM (97.7)
CRDB BANK
ACCOUNT NUMBER:0112020439000
JINA LA ACCOUNT: HURUMA MATHEW GADI
AU
MPESA 0764500242
TIGOPESA 0673500242
AIRTEL MONEY 0789500242
JINA: HURUMA GADI


Mfuatilie Mwalimu Huruma Gadi:
Instagram: http://instagram.com/mwalimuhurumagadi
Facebook: http://facebook.com/mwalimuhurumagadi
Twitter: http://twitter.com/mwalimuhurumagadi
Podcast: http://ow.ly/mwalimuhurumagadi

proshabo
1 Views ยท 2 years ago

Click Here: https://bit.ly/3aLVBZZ

JINSI YA KUSHINDA ROHO YA UZINZI NA UASHERATI - kipindi cha 2 (Na. Askofu Dr. Fredrick Simon)




#mahubiri #fredricksimon #pcct #uzinzi #uasherati




Showing 171 out of 172