Top videos
Song: Nataka Kufanana Na Yesu | Artist: Bahati Bukuku
YouTube: http://bit.ly/2eg6s3v
Facebook: https://www.facebook.com/bahatibukukutz
G+ : https://plus.google.com/100665652613523860381
SUBSCRIBE Injili For Best African Gospel Songs: http://www.youtube.com/InjiliAfrica
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/InjiliAfrica
Follow us on Twitter: https://twitter.com/InjiliAfrica
Stream music free at our official Website: http://www.mziiki.com
Gospel singer Sipho Makhabane performs Ebenezer on VIP Invite Season 2 on Mzansi Magic Music.
---
Visit Mzansi Magic https://bit.ly/MzansiMagic
Watch more series and movies on Showmax, start your 14-day free trial here: https://bit.ly/36PFSr0
Watch Mzansi shows on DStv Catchup: http://bit.ly/DStvCatchup
Follow Mzansi Magic Here:
Twitter: https://twitter.com/mzansimagic
Facebook: https://www.facebook.com/Mzansimagic
Instagram: https://www.instagram.com/mzansimagic/
tumwinue eeh( Yesu ni bwana) sebene version done by Kag isiolo(kenya assemblies isiolo) during praise and worship practice session. Enjoy with us and be blessed.
Follow us on Facebook: kag church isiolo
Youtube: kenya assemblies isiolo
SOMO la kwanini tunaishi lilihubiliwa na ASKOFU - KAKOBE siku ya mkesha wa mwaka mpya 2020.
#PaulK #Gospel #Gospelisgreat
Ibada ya Jumatano jioni katika kanisa la Gospel Campaign Centre TAG Majumbasita Ukonga - Dar es salaam chini ya Mch Moses Magembe.
Ujumbe: KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU | UINJILISTI
Andiko: WAEFESO 4:7-15
Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
Tarehe: 31.05.2023
YESU NI BWANA; its a song of giving praise to Jesus Christ as our only Lord Savior forever.
Kisha nikaona kiti cha enzi
Kikubwa, cheupe
Na yeye aketiye juu yake
Nikawaona wafu,
Wakubwa kwa wadogo
Wamesimama mbele ya kiti hicho
Wamesimama mbele ya kiti hicho
Na vitabu vikafunguliwa
Na kitabu cha uzima
Na hao wafu wakahukumiwa
Sawasawa na matendo yao
Bahari nayo ikawatoa
Wafu waliokuwa wamo ndani yake
Mauti na kuzimu zikawatoa
Wafu waliokuwa wamo ndani yake
Wakahukumiwa kila mtu
Kwa kadiri ya matendo yake
Wakahukumiwa kila mtu
Kwa kadiri ya matendo yake
Mauti na kuzimu
zikatupwa katika lile ziwa la moto
Hii ndio mauti ya pili
Yaani hilo ziwa la moto
Na iwapo mtu (yeyote) hakuonekana
Ameandikwa (katika) kitabu cha uzima
Alitupiwa katika lile ziwa la moto