YESU NI BWANA- OFFICIAL LYRICS BY COAX MUSIC Boaz Danken ft Uswege Mtafya
0
0
0 意见·
02 八月 2023
在
音乐
YESU NDIYE NJIA KWELI NA UZIMA
YESU NI BWANA
HAKUNA JINA JINGINE
TULILOPEWA DUNIANI
LITUPASALO KUOKOLEWA KWALO
YESU NI BWANA
KILA GOTI LITAPIGWA
KILA ULIMI UTAKIRI
MATAIFA YATASEMA
YESU NI BWANA
YESU NDIYE NJIA KWELI NA UZIMA
YESU NI BWANA
VIGELEGELE KWA YESU
PIGA KELELE
YESU NI BWANA
显示更多
0 注释
sort 排序方式