NAWEZAJE KUMPOKEA ROHO MTAKATIFU? (Matendo 2:37-38, Yohanna 3:5, Yoeli 2:28) | MTUME MESHAK
0
0
2 Bekeken·
10 Augustus 2023
Wengi wana imani potofu kuhusu Roho Mtakatifu. Wengine wanafikiri yeye ni nguvu za Mungu tu, na wengine wanafikiri yeye ni nafsi ya tatu. Lakini tunaamini kwamba Roho Mtakatifu ni Mungu Mwenyewe (Yohana 4:24.)
Laat meer zien
0 Comments
sort Sorteer op