下一个

MITIMINGI # 259 MATATIZO MENGI SANA YA NDOA HUTOKANA NA KUKOSA UFAHAMU - SIO MAOMBEZI

2 意见· 10 八月 2023
proshabo
proshabo
5 订户
5

Mara nyingi sana watumishi wa Mungu wanapopelekewa shida za matatizo ya ndoa huishia kwenye maombezi. Wakati mwingine matatizo ya ndoa sio mpaka maombezi, bali ni ufahamu NENO la UZIMA linasema, "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" Ufahamu ukipona, ndoa imepona.

Mch na Mwl. DR MITIMINGI p. Counseling Psychoplogist +255 713 18 39 39

显示更多

 0 注释 sort   排序方式


下一个