MITIMINGI # 165 JE NI KIVIPI MALEZI YA KUDEKEZA/PERMISIVE PARENTING HUMUATHIRI MTOTO
0
0
2 意见·
10 八月 2023
在
人与博客
Wazazi wengi wamekuwa wakiwalea watoto wao katika malezi ya kudekeza/Kuruhusu bila kujua kuwa wanaaaribu maisha ya watoto. Asilimia kubwa ya wazazi wamekuwa wakiwapa watoto kila kitu watakacho.
Mch na Mwl MITIMINGI p. +255713 18 39 39
显示更多
0 注释
sort 排序方式