MCHUNGAJI PETER MITIMINGI AFARIKI DUNIA USIKU HUU
0
0
0 المشاهدات·
10 أغسطس 2023
Mchungaji na mwalimu Dkt. Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula au kwa kimombo “Warehouse Christian Centre(WCC)” amefariki dunia, usiku huu.
Kabla ya kuanzisha kanisa lake hilo, alihudumu TAG.
أظهر المزيد
0 تعليقات
sort ترتيب حسب