Martha Mwaipaja - Muhukumu wa haki (Official Music Video)
0
0
94 Visualizzazioni·
26 Luglio 2023
In
Musica
Muhukumu wa haki ni wimbo wangu unaelezea siku ile ya mwisho itakvyokuwa pale ambapo watakatifu watasimama mbele ya Muhukumu wa haki ambaye ni Mungu Baba ,swali la kujiuliza,Je wewe umejiandaje siku ikifika ya unyakuo wako? kuendelea kupata mfululizo wa video zangu usishau kusubscribe channel yangu hii.
#MarthaMwaipaja#MuhukumuWaHaki#OfficialMusicAudio
Mostra di più
0 Commenti
sort Ordina per