Film ya Mfano wa siku ya Mwisho YESU Kristo atakaporudi,Mathayo 24:27-31
0
0
3 Visualizações·
06 Agosto 2023
Dentro
Sermons
Mathayo 24:27-31
Angalia video hii,Mfano tu wa siku ile ambayo YESU Kristo atakaporudi,je wewe utakutwa wapi? Mgeukia YESU Kristo sasa awe BWANA na Mwokozi wa maisha yako,jehanamu panatisha mpendwa,MUNGU hataki wewe uingie jehanamu bali anataka uwe na uzima wa milele,Yohana 3:16
Mostre mais
0 Comentários
sort Ordenar por