Sermons
Soma Biblia!:
https://www2.bible.com/bible/74/JHN.1.bhn ,
https://www2.bible.com/bible/1627/JHN.1.nen ,
https://www2.bible.com/bible/1817/JHN.1.sruvdc ,
Read and listen to the bible in your language:
https://www.bible.com/it/app
https://www2.bible.com
https://www.faithcomesbyhearin....g.com/audio-bible-re
-- Tanzanian Swahili full movie | Yesu Kristo: Jinsi ya Kupata Uzima wa Milele Jesus | Injili ya Yohana: https://youtu.be/G94s1L3UUpQ
Swahili movie: Matendo Ya Mitume | baada ya kufufuka kwa Yesu Kristo | Acts | Sura ya 1 hadi 7: https://youtu.be/wWCxCmQyKt8
Swahili movie: nini kinatokea baada ya kifo? Yesu anaongea juu yake mara nyingi!: https://youtu.be/9G2O3GDbMag
The Gospel of John in English :
https://www.youtube.com/watch?v=-k0D_qFPb4o
Acts of the Apostles in English:
https://www.youtube.com/watch?v=q5bTIUrUw0M
The Gospel According to Matthew:
https://www.youtube.com/watch?v=yf9jWonGL74 11
Read and listen to the bible in your language:
https://www.faithcomesbyhearin....g.com/audio-bible-re
https://www2.bible.com
https://www.youtube.com/c/BibleIsApp/playlists
https://www.youtube.com/user/n....atanaeles72/playlist
https://www.youtube.com/c/TheLumoProject/playlists
The gospel of John with subtitles (More than 1000 languages!):
Languages from A to C: https://youtu.be/RijqmfxvCjM
from D to I: https://youtu.be/l1dfuV5NCrA
from J to L: https://youtu.be/zsFMhs3tITM
from M to O: https://youtu.be/eVMOagqb5Pg
from P to S: https://youtu.be/VGZOWOxKXfs
from T to Z: https://youtu.be/ENWgUGyLq-k
How to find your language in these movies (with subtitle) (brief explanation):
Go to the subtitles tool, after the "I" you will see that there is the "interlingua" item, next to this item you will find numerous languages in alphabetical order (for instance: Interlingua-Abua ; Interlingua-Achuar ...etc. ).
Click once on the chosen language (do not click twice or more) and wait a few seconds and the system will load the language you have selected.
Here the example: https://youtu.be/5XCa_-TJN9k
Gospel of Matthew with subtitles:
Languages (from A to E): https://youtu.be/wpFrTZLCpAY
(from F to M): https://youtu.be/zsIeXajy7Xw
(from M to S): https://youtu.be/rHFvJVQUmss
(from T to Z): https://youtu.be/0YxJlYyTv84
Acts with subtitles:(From Chapter 1 to 7):
Languages (from A to C) https://youtu.be/FmuyZWsgeg0
(from D to I) https://youtu.be/3F2mLXVhzWw
(from J to L) https://youtu.be/YoV3NN5EU_4
(from M to O) https://youtu.be/0Y88yxk0HlI
(from P to S) https://youtu.be/fLIzWMtR19U
(from T to Z) https://youtu.be/kegiVqwK9gQ
Kufuatia kipindi hiki cha kwa resma, Holiness Tv tutakuwa tukikuletea filamu ya YESU kwa vipande vipande(Episod) kila wakati kwa lugha ya kliswahili. Ili uweze kupata na kutazama filamu hii hakikisha una-SUBSCRIBE kisha unabofya alama ya KENGELE. Tafadhali SHARE, LIKE, COMMENT. MUNGU akubariki sana, Amen.
Mathayo 24:27-31
Angalia video hii,Mfano tu wa siku ile ambayo YESU Kristo atakaporudi,je wewe utakutwa wapi? Mgeukia YESU Kristo sasa awe BWANA na Mwokozi wa maisha yako,jehanamu panatisha mpendwa,MUNGU hataki wewe uingie jehanamu bali anataka uwe na uzima wa milele,Yohana 3:16
#mtigaabdallahthestorybook
ANAITWA #BRIANDEACON KUNA MUUJIZA ULIMTOKEA WAKIWA WANAIGIZA #FILAMUYAYESU ASIMULIA YOTE WALIYOKUTANA NAYO #SHETANIALIWAZUIA
ANGALIZO: Picha na video zilizowekwa katika simulizi hii, si sura halisi ya YESU, zimewekwa kwa ajili ya kuelimisha na kuelewesha zaidi.
Mimi sio Yesu | Brian Decoin Muigizaji Filamu ya Yesu| Niliishi kipagani kabla ya kuigiza kama Yesu.
Je unayafahamu maisha halisi ya mwigizaji maarufu wa filamu ya Yesu ? Wengi wana amini huyu ndiye Yesu.
Ilikuwaje mpaka akapata nafasi hio. ? Fuatilia simulizi hii kupitia Fasihi Stories.
Emmanuel Misago.
#SYLASTV ONLINE
Hadithi ya Maisha na Times wa Yesu Kristo (Mwana wa Mungu).
Kulingana na Injili ya Luka.
(Kenya, Afrika ya Mashariki) Kiswahili, Kenya / Kisuaheli lugha.
Mungu akubariki zote.
(Google tafsiri kutoka Kiingereza na Kiswahili)
The Story of the Life and Times of Jesus Christ (Son of God).
According to the Gospel of Luke.
(Kenya, East Africa) Swahili, Kenya / Kisuaheli Language.
God Bless You All.
BONYEZA NENO SUBSCRIBE. KABLA HUJAMALIZA KUANGALIA FILAMU HII YA YESU . ILI NIWEZE KUWALETEA FILAMU ZINGINE NZURI ZA DINI KAMA HIZI . NAOMBA UBONYEZE NENO LENYE RANGI NYEKUNDU HAPO PEMBENI LIMEANDIKWA SUBSCRIBE NA KISHA BONYEZA ALAMA KENGERE ILI UWE WA KWANZA KUPATA SIMULIZI NZURI ZA KUKUBARIKI KIROHO . MUNGU AKUBARIKI SANA MTU WA MUNGU.
Yesu Kristo - Yesu amponya kipofu -Miujiza ya Yesu
DHAMIRA YETU TOGOLAY24 TV
โข Kutoa Habari za Injili na Kijamii
โข Kuwa kielelezo cha Imani na Maadili ya Kikristo
โข Kukidhi matarajio na mahitaji ya waumini katika Mungu na Mwanawe Yesu Kristo kama sehemu kuu ya maisha yao.
โข Kutoa Huduma ya Kiroho kwa Taifa
โข Kutoa fursa kwa Mtanzania katika ajira na mafunzo
โข Kutoa utayarishaji na vipindi vya hali ya juu vya kuigwa na marafiki, washirika na wenzao na wengine wote watakaotazama Televisheni yetu.
โข Kuwa Kiwango cha uhamishaji wa maarifa kwa watazamaji wetu kuhusu mambo yanayowavutia maishani.
Maisha ya Yesu Kristo - Sinema Kamili za Bibilia
The Jesus Film is a Christian movie directed by Rice Broocks. It is the first film to present the story of Jesus of Nazareth in an accurate and entertaining way. The film was created by Campus Crusade for Christ International, with the support of the church of Christ. It is based on the Four Gospels of the Bible - Matthew, Mark, Luke and John
This Movie and Language is based on Wabembe/ Bembe tribe located in Democratic Republic of Congo๐จ๐ฉ and Tanzania๐น๐ฟ.
#babondo #Kibembe #Itombwe
________________________________________
Imetafsiriwa na Ndugu Andres-Safari Kungu katika kanisa la Free Methodist Church wakisaidiwa na Campus For Christ International.
Tumsifu Yesu Kristo ... Milele Amina
Karibu Katika Channel Yetu Yenye Lengo La Uinjilishaji
Tufuatilie Hapa Zaidi Kwa Link hii
/ @iam_catholic
Daima Tunafurahi Katika Kuitangaza Injili ( Tumebatizwa Na Kutumwa )
This film is a perfect introduction to Jesus through the Gospel of Luke. Jesus constantly surprises and confounds people, from His miraculous birth to His rise from the grave. Follow His life through excerpts from the Book of Luke, all the miracles, the teachings, and the passion.
God creates everything and loves mankind. But mankind disobeys God. God and mankind are separated, but God loves mankind so much, He arranges redemption for mankind. He sends his Son Jesus to be a perfect sacrifice to make amends for us.
Before Jesus arrives, God prepares mankind. Prophets speak of the birth, the life, and the death of Jesus.
Jesus attracts attention. He teaches in parables no one really understands, gives sight to the blind, and helps those who no one sees as worth helping.
He scares the Jewish leaders, they see him as a threat. So they arrange, through Judas the traitor and their Roman oppressors, for the crucifixion of Jesus. They think the matter is settled. But the women who serve Jesus discover an empty tomb. The disciples panic. When Jesus appears, they doubt He's real. But it's what He proclaimed all along: He is their perfect sacrifice, their Savior, victor over death. He ascends to heaven, telling His followers to tell others about Him and His teachings.
Download the App for more clips and to take Jesus with you wherever you go:
https://nextstep.is/getapp
Have questions about Jesus? Click here to learn more: https://nextstep.is/jesusfilmwebsite
Follow Jesus Film Project on Facebook: https://nextstep.is/facebook
Like Jesus Film Project on Instagram:https://nextstep.is/instagram
Follow Jesus Film Project on Twitter: https://nextstep.is/twitter
Since 1979, Jesus Film Project has been known for its diverse library of gospel-centric media that brings people face to face with Jesus all over the world. From city to shore and jungle to township, Jesus Film Project is standing by you with content in over 1800 languages.
Be sure to download our app to watch the full-feature film in addition to hundreds of other films, for free. https://nextstep.is/getapp
You can also become involved in the ministry by participating on short-term mission trips, linking arms with us in prayer, giving to global initiatives, and internships using your major, to share the Gospel with others around the world! https://nextstep.is/how-to-help
To find more videos from Jesus Film Project, Click this link to find the movie playlist in your language: https://www.youtube.com/user/jesusfilm/playlists?view=50&sort=dd&shelf_id=11
This film is a perfect introduction to Jesus through the Gospel of Luke. Jesus constantly surprises and confounds people, from His miraculous birth to His rise from the grave. Follow His life through excerpts from the Book of Luke, all the miracles, the teachings, and the passion.
God creates everything and loves mankind. But mankind disobeys God. God and mankind are separated, but God loves mankind so much, He arranges redemption for mankind. He sends his Son Jesus to be a perfect sacrifice to make amends for us.
Before Jesus arrives, God prepares mankind. Prophets speak of the birth, the life, and the death of Jesus.
Jesus attracts attention. He teaches in parables no one really understands, gives sight to the blind, and helps those who no one sees as worth helping.
He scares the Jewish leaders, they see him as a threat. So they arrange, through Judas the traitor and their Roman oppressors, for the crucifixion of Jesus. They think the matter is settled. But the women who serve Jesus discover an empty tomb. The disciples panic. When Jesus appears, they doubt He's real. But it's what He proclaimed all along: He is their perfect sacrifice, their Savior, victor over death. He ascends to heaven, telling His followers to tell others about Him and His teachings.
Download the App for more clips and to take Jesus with you wherever you go:
https://nextstep.is/getapp
Have questions about Jesus? Click here to learn more: https://nextstep.is/jesusfilmwebsite
Follow Jesus Film Project on Facebook: https://nextstep.is/facebook
Like Jesus Film Project on Instagram:https://nextstep.is/instagram
Follow Jesus Film Project on Twitter: https://nextstep.is/twitter
Since 1979, Jesus Film Project has been known for its diverse library of gospel-centric media that brings people face to face with Jesus all over the world. From city to shore and jungle to township, Jesus Film Project is standing by you with content in over 1800 languages.
Be sure to download our app to watch the full-feature film in addition to hundreds of other films, for free. https://nextstep.is/getapp
You can also become involved in the ministry by participating on short-term mission trips, linking arms with us in prayer, giving to global initiatives, and internships using your major, to share the Gospel with others around the world! https://nextstep.is/how-to-help
To find more videos from Jesus Film Project, Click this link to find the movie playlist in your language: https://www.youtube.com/user/jesusfilm/playlists?view=50&sort=dd&shelf_id=11
Kuna njia moja pekee ya Mbinguni na kwa Jina moja tunapaswa kupata uzima wa milele, Jina Lake ni Yeshua (Yesu).
Kwa mwingine hakuna maisha ya milele iwezekanavyo!
Usitegemee kuiona mbingu Kama wewe ni mrevi.Mzinzi.mwongo. mchonganishi. mchawi usitegemee kuiona mbingu Ghaili uovu ukaishi milele na Yesu
OFFICIAL HD VIDEO - ALBUM 2
Ukijalibiwa Na Hadui kumbuka Mungu Yuko upandew
Proverbs 6:
16 These six things the Lord hates,
Yes, seven are an abomination to [a]Him:
17 A[b] proud look,
A lying tongue,
Hands that shed innocent blood,
18 A heart that devises wicked plans,
Feet that are swift in running to evil,
19 A false witness who speaks lies,
And one who sows discord among brethren.
Mhonda Teachers College-Casfeta Choir
Provided to YouTube by NGOMMA VALUE ADDED SERVICES LIMITED
Acha Dhambi ยท Lucy Cheza
Lucy Cheza
โ 2019 Lucy Cheza Hits
Released on: 2020-11-12
Producer: Lucy Cheza
Composer: Lucy Cheza
Auto-generated by YouTube.
Hii Ni Ibada ya jumapili ya tarehe 28 May 2023.
Mada kuu ilikuwa ni KUACHA DHAMBI
Mhubiri alikuwa ni Rev. EMANUEL JEREMIAH ITOGELO Kutoka AIC Kinzugi.
MASOMO YALITOKA;
1.WAAMUZI 16:15-16
2.ISAYA 59:2
VIFUNGU VINGINE NI
WAEFESO 2:1
WAAMUZI 16:6
MITHALI 6:32
WAAMUZI 14:5
KARIBU KATIKA IBADA ZETU
JUMATANO | MAOMBI | SAA 10:00 JIONI HADI SAA 12:00 JIONI
ALHAMISI | MAOMBI YA VIJANA | SAA 10:00 JIONI HADI SAA 12:00 JIONI
IJUMAA | MAOMBI YA WANAWAKE | SAA 10:00 JIONI HADI SAA 12:00 JIONI
JUMAPILI | IBADA KUU | SAA 1:00 ASUBUHI HADI SAA O6:00 MCHANA.
catch us on instagram : https://www.instagram.com/aic_tabata_choir/
Facebook : https://www.facebook.com/tabatagospel.choir
TikTok : https://www.tiktok.com/@UCHJdiWeEsPvbzsxh5I56e7Q
Youtube : https://www.youtube.com/channe....l/UCHJdiWeEsPvbzsxh5
Like Subscribe&share our videos!!!!......
E-mail us :tabatagospel@gmail.com
CONTACT VIA TEL 255765930030
KWA MAONI NA USHAURI FIKA KANISANI KWETU AIC TABATA PASTORATE TUPO NYUMA YA MWANANCHI COMMUNICATION BARABARA YA MANDELA.
KWA MAENEO YA KIMANGA FIKA SAVANNA ULIZIA KANISA LA WASUKUMA.
Singer : Emau Choir
Church: Philidephia Ngomai
Producer: Yona Mabwai
Location: Kibaigwa-Dodoma
Contacts: +255 769 714 222
SONG
#UncleNico #TajaDhambiZako #NgommaGospel
ยฉ2020 Administered by Ngomma VAS Limited.
Ili tuweze kujiweka karibu na Mungu yatupata kujitakasa na kutubu makosa yetu. Kufanya hivyo hatuna budi kuacha dhambi kwa kuishi ukristo wetu.#song #youtubeshorts #youtube
Director @Godwin six Producers @Robert Daniel Robby @Tella @salubeats8160 I have been sent to preach the gospel,in the city and villages,so that people may receive the Saviour,before I start preaching,let me pray first,and read the word so that the spirit may service us. Firstly,his word says confess your sins,his kingdom is near(confess your sins) you should stop sin,stop sin! Stop sin stop sin.....some say wait until tomorrow,when we preach the gospel to them,their saying not yet! some say wait a bit,their saying we are still enjoying our youth...to be born again;Not yet...Not yet Not Yet!!
People say I don't have a job to do when I say we should make an arc,some people snob.when I preach people to say stop being evil,they do evil,when I preach about people to stop being alcoholics,they still drink,some say beer is sweet,when they sing they praise ladies,God says he is a God of Jealous,he doesn't want any other god to be worshipped,firstly his word says you should confess your sins,his kingdom is near....you should stop sin,stop sin stop sin!!
Full video โ https://youtu.be/zq12-XlBX0U
Nimewaletea Video yangu mpya karibuni kuitzama,Ni nyimbo ambayo itakutoa sehemu uliopo nakukuleta sehemu salama kabisa.#SUBSCRIBE chanel yangu ili upate vitu vizuri sana.
---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
#JINSIYAKUPIKACHAKULA#RAISSAMIASULUHUHASSAN#ROSEMUHANDO
IJUE NJIA YA KUONGEA NA MUNGU NA IJUE NJIA YA KUKUSAIDIA KUMJUA MUNGU NA NENO LAKE..
*1๏ธโฃ NJIA YA KUONGEA NA MUNGU NI MOJA TU MAOMBI, UKIOMBA NA MUNGU ANAKUSEMESHA* imeandikwa hivi๐
*๐Yeremia 33:3 Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.*
๐๐ปUsipoita hakuna siku Mungu ataitikia..
โInawezekana bado haujanielewa, ni hivi usipohoji hakuna siku Mungu atahojiana na wewe..
*๐Isaya 43:26 Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.*
โKwahiyo ukitaka Mungu aseme hakikisha na wewe unasema (OMBA), ukitaka uhojiane na Mungu hakikisha unalo jambo la kumhoji Mungu vinginevyo hakuna siku utamsikia Mungu akisema na wewe ๐hili ni jambo mhimu sana kama unataka kuwa na mahusiano ya karibu na Mungu yanayokupa kumsikia MUNGU pindi anaposema na wewe..
2๏ธโฃNjia za kukusaidia ili ulijue neno la Mungu..
*NENO LA MUNGU UTALIJUA IKIWA UTAWEKA MIKAKATI INAYOELEWEKA*
(i) Mikakati ya kusoma biblia yako, kama hauna mda wa kusoma biblia hakuna siku utalijua neno la Mungu
(ii.) Mikakati ya kupenda kuhudhuria vipindi vya ibada kanisani kwenu,
*โถ๏ธ Ni hivi kanisani ndipo tunapopata mafundisho ya neno la Mungu, lakini pia ndipo tunapobadilishana mawazo na udhoefu juu ya Mungu, kwahiyo kama wewe si mtu wa ibada hakuna siku utalijua neno la Mungu..*
(iii) Mikakati ya kupenda kujifunza na kusikiliza mafundisho mbalimbali ya neno la Mungu..
*โถ๏ธMara ngapi unapata mda wa kusikiliza vipindi vya neno la Mungu redioni au katika runinga yako? Mara ngapi unapenda kufuatilia vitu vyenye tija na maisha yako kwenye mitandao ya kijamii hususa ni mafundisho ya neno la Mungu? Mara ngapi unanunua vijitabu vya mafundisho ya neno la Mungu? ๐ni hivi usipojipa wigo mpana wa kufuatilia neno la Mungu hakuna siku utalijua neno la Mungu..*
(iv.) Kupenda kuuliza maswali ya Kibiblia kwa watumishi wa Mungu..
โถ๏ธTakwimu za kibiblia zinaonyesha yakwamba katika wale mitume kumi na wawili wa Yesu walioonekana kulijua neno vizuri kuliko mitume wengine ni wale waliopenda kumwuliza Yesu sana maswali, moja kati ya hao ni PETRO, YAKOBO na YOHANA..
Mfano๐
โMaswali ya PETRO
*โพMathayo 15:15 Basi Petro akajibu, akamwambia, Tueleze mfano huo.*
*โพMathayo 18:21 Kisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikose mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba?*
*โพMathayo 19:27 Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi?*
โMaswali ya YAKOBO na YOHANA
*โพMarko 13:3 Hata alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, kuelekea hekalu Petro, na Yakobo, na Yohana, na Andrea walimwuliza kwa faragha,*
*โพLUKA 9:54 Wanafunzi wake Yakobo na Yohana walipoona hayo, walisema, Bwana, wataka tuagize moto ushuke kutoka mbinguni, uwaangamize; [kama Eliya naye alivyofanya]?*
๐๐ปNimekupitisha kwenye hii mifano michache ili uone yakwamba PETRO, YAKOBO na YOHANA ni mitume pekee wa Yesu waliolijua neno la Mungu kuliko mitume wengine kwasababu ni watu waliopenda kumwuliza Yesu maswali ili kujifunza, ndiyo maana kwasababu ya ufahamu wao mkubwa juu ya neno la Mungu katika biblia hawa ndiyo mitume pekee wa Yesu walioandika nyaraka ๐hakuna mtume mwingine aliyeandika waraka katika wale mitume kumi na wawili wa Yesu zaidi ya PETRO, YOHANA na YAKOBO..
*โNachotaka kukufundisha nikuwa kama unataka kumjua Mungu na neno lake jifunze kuwa mtu wa maswali, Jifunze kumwuliza Roho mtakatifu aliye mwalimu mkuu lakini pia jifunze kuwauliza watumishi wa Mungu maswali mbalimbali ya kibiblia, UDADISI WAKO WA MAMBO UTAKUFANYA ULIJUE NENO LA MUNGU KWA UPANA WAKE NA UMJUE PIA MUNGU WAKO VIZURI..*
๐ถMwisho..
*๐Waefeso 1:17 Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa utukufu, awape ninyi roho ya hekima na ya ufunuo katika kumjua yeye;*
*JIFUNZE ZAIDI HAPA*
๐๐๐๐๐
https://youtu.be/pc5yysyDe3c
*SHARE UJUMBE HUU KWA WENGINE NA MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI SANA*
*TUZISIKILIZE NA KUZIFUATA AMRI ZA BWANA MAANA YEYE NDIYE ATUFUNDISHAYE NA KUTUONGOZA ILI TUPATE FAIDA*
Bwana Yesu Asifiwe.
Wapendwa katika Bwana nimetafakari sana upendo wa Mungu ndani ya maisha ya mwanadamu nikagundua ni mkuu mno tena sana jamani.
Lengo la Mungu wetu ni sisi kukaa na yeye tu siku zote, hapendi tupotee kabisa. Maana mpango wa Mungu ni sisi kuishi naye milele. Ndio maana alipoona mwanadamu wa kwanza ameharibu alimtoa mwanawe pekee afe msalabani ili atuokoe kutoka vifungoni na turejee kwake.
Mungu ndiye aliyetuumba, hivyo kwa vyovyote vile anatujua kuliko sisi tujijuavyo yaani baba zetu wa kimwili wanatufahamu sana kwasababu wao ndio waliotuzaa pia.
Anaposema Mimi ndiye nikufundishaye na kukuongoza ktk njia inayopasa ili upate faida ni kweli kabisa, kwani pasipo kuongozwa naye sisi ni wa kupotea tu, kwasababu mwanadamu pasipo Mungu si kitu. Katika Mungu Yesu Kristo tunaishi, tunakwenda na kuwa na uhai wetu.
@VISIONSTUDIOZ +254719399639
Acha dhambi
Vijana KKKT ubungo
LIKE NA SUBSCRIBE KWA CHANNEL YETU UPATE MAHUBIRI KAMA HAYA KILA SIKU.
USISAHAU KUSHARE ILI NA WENGINE WABARIKIWE
#tanzania #tanzaniagospel #ingospel
Official video 4k GLCmedia
Subscribe,Like & Comment Kwenye nyimbo zetu na Channel yetu,kwa baraka za Mungu maishani mwako!!.Wasiliana nasi kupitia simu no. 0752765081;0622432934,kwa maoni na mchango wako wa hali na mali, katika kulipeleka INJILI YA YESU KRISTO MBELE,KUPITIA UIMBAJI WA NYIMBO HIZI ZA INJILI!!.,Zaidi ya yote,ZIDI KUTUOMBEA!!