MITIMINGI # 161 - AINA NNE ZA MITINDO YA MALEZI YA WATOTO
0
0
3 Pogledi·
10 Kolovoz 2023
Watoto wote unaowaona Duniani wamelelewa kwenye mtindo fulani. Hata wewe ulilelewa kwenye moja ya mtindo huo, na kuna athari za maisha unazipitia leo ambazo zinatokana na mtindo ambao wazazi wako nao waliuchagua kukulea wewe.
Prikaži više
0 Komentari
sort Poredaj po