Askofu Zachary Kakobe: Kiongozi akikosea lazima aambiwe!
0
0
7 意见·
04 八月 2023
Askofu Kakobe wa Makanisa ya Full Gospel Bible Fellowship(FGBF) anasema hakuna wa kumuhonga, majani ya chai yanayotumika IKULU ni yale yale yanayolimwa Mufindi hayana dhahabu ndani, hata pesa anazo kuliko Serikali. Waziri akitaka aende atamkopesha!
显示更多
0 注释
sort 排序方式